Wednesday, August 28, 2024

MIKUTANO YA INJILI MWEZI WA 8


 Shalom watu wa Mungu Mungu ni mwema namtukuza Bwana mno ametusaidia  kuwa na mfululizo wa mikutano ya injili, Agost, lringa kitayawa mikutano miwili, lringa Kilolo mkutano mmoja, mkoa wa Kilimanjaro tumekuwa na mkutano mkubwa wa injili, wa siku 5 njia panda ya himo stand, na sanya juu nasai mkutano wa kufungua tawi la New life Himo kwa siku 3 na ufunguzi wa Kituo kikuu cha New life Tanzania prayer centre Himo kwa mchungaji Rafael.  Amen Bwana awabariki nyote! Ni mimi victory kiluguma askofu wa Agape sanctuary Pentecostel lringa Centre Kitayawa. Kwa mawasiliano: pastorvictorykiluguma@blogspot.com. au nipigie 0612083598 au niandikie victorykiluguma@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment