KATIKA ULIMWENGU WA KIKRISTO JINA NI ZAIDI YA UTAMBULISHO. MCHAGULIE MTOTO JINA NZURI HAYA HAPA MAJINA NA MAANA YAKE KWA WATOTO WA KIKRISTO WA KIUME
Shalom wapendwa wangu naitwa pastor victory kiluguma karibu fuatana nami,na Mungu akubariki. Tuangalie kuhusu Boy Baby Names: katika ulimwengu wa kikristo, jina ni zaidi ya utambulisho lina maana ya kiroho.linahusiana na imani hisitoria, nk. Mchagulie mtoto jina nzuri kwa wakristo zingatia jina lenye asili ya maandiko matakatifu Biblia. Majina yana athiri tabia na maisha ya watoto wetu. Majina haya si tu yanaleta heshima,bali ni urithi wa imani yanawapa watoto msingi mzuri kiimani na kiroho tangu utotoni. majina ya watoto wa kiume wa kikristo ni ya kipekee.historia yake huwa ni ya kipekee ambayo inaweza kumsaidia mtoto kuelewa na kujivunia urithiwake wa jina kiroho KUCHAGUA JINA LA MTOTO NI UAMUZI MUHIMU SANA KWA WAKRISTO NA MZAZI WA IMANI YEYOTE. MAMBO YA KUZINGATIA UNAPO MCHAGULIA MTOTO WA KIUME WA KIKRISTO JINA. (1) fikiria maana ya jina hilo na jinsi linavyo husiana na imani yako ya kikristo. (2)fikiria chimbuko na hisitoria ya jina hilo, (3)angalia urahisi wa kutamka,na kuandika jina hilo. (4)fikiria jinsi jina hilo litakavyo fanyika baraka kwa familia na jamii nzima.hakikisha linaendana na maadili mazuri ya jamii yako tena linafanyika baraka mtoto kwa mwenyewe. (5)fikiria kuhusu utambulisho wa kipekee wa jina hilo, tafuta jina linalomtofautisha mtoto wako kwa namna nzuri na ya barak Mwisho mpendwa mzazi mchagulie mtoto wako jina lenye maana nzuri kwa kufanya hivi unampa mtoto wako zawadi ya urithi wa kiroho ambao utamwongoza kwa kristo na kumpa nguvu ya imani kwa Mungu kwa maisha yake yote. HAYA HAPA NI MAJINA NA MAANA KWA WATOTO WA KIUME WA KIKRISTO; Majina ya Herufi (A) (1) Adamu: jina la kwanza kibiblia lenye maana, Mtu au Udongo. (2) Abrahamu; jina la kialam lenye maana Baba wa mtaifa mengi. (3) Andrew; jina la kigiri lenye maana,shujaa au jasiri. Majina ya Herufi (B). (2) Benjamin; jina la kiebrania lenye maana mwana wa mkono wa kuume.(3)Bartholomew; jina la kiebrania lenye maana mwana wa tamlimal.(4)Barnabas; jina lenye maana Mwana wa faraja. (5)Benedict; jina la kilatini lenye maana amebarikiwa. Majina ya Herufi (C) (1)Caleb; jina la kiebrania lenye maana Mtu mwaminifu. (2) Christopher; jina la kigiri lenye maana kuchukua kristo.(3)Cyrus; jina la kiajemi lenye maana Mfalme. (4) Cornelius; jina la kilatini lenye maana Mwenyepembe. Majina ya Herufi (D).(1) Daniel; jina la kiebrania lenye maana Mungu ni mwamuzi wangu. (2)David; jina la kiebrania lenye maana Mwenye kupendwa.(3) Dominic; jina la kilatini lenye maana Mwenye kumilikiwa na Bwana.(4)Dylan; jina la kiwelshi lenye maana mwana wa mawimbi. Majina ya Herufi (E) (1) Elijah; jina la kiebrania lenye maana Mungu wangu ni Yehova.(2) Ethan; jina la kiebrania lenye maana Mwenye nguvu au imara.(3)Ezekiel; jina la kiebrania lenye maana Mungu ni nguvu zangu.(4) Ezra; jina la kiebrania lenye maana Msaidizi. Majina ya Herufi (F) (1) Flex;jinala kilatini lenye maana Mwenye furaha au bahati.(2) Francis; jina la kilatini lenye maana Mtu wa kifaransa.(3) Fedrick; jina la kijeruman lenye maana Mfalme au kiongozi. (4)Fabian; jina lenye maana mkulima wa maharage. Majina ya Herufi (G) (1) Gabriel; jina la kiebrania lenye maana Mungu ni nguvu zangu.(2)Gidion; jina la kiebran lenye maana Mwindaji aushujaa. Majina ya Herufi (1)Hosea-jina la kiebrania lenye maana Mungu anaokoa (2) Hezekiah-jina la kiebrania lenye maana Mungu ni nguvu zangu.(3)Heary- Jina la kijeruman lenye maana mtawala wa nyumba. (4) Hudson-Jina la kiingereza lenye maana Mwana wa hudoe. Majina ya Herufi (J) (1)Jacob- Jina la kiebrania lenye maana mfuatiaji au anayeshikilia kisigino. (2) John-jina la kiebrania lenye maana Mungu ni neema. (3) Joseph-Jina la kiebrania lenye maana Mungu ataongeza (4)Jushua-Jina la kiebrania lenye maana Bwana ni wokovu. (1)Kaleb-Jina la kiebrania lenye maana Mwenye uaminifu.(2) Kenneth-Jina la kigaeli lenye maana Mwenye kuzaliwa upya.(3)Kevin-Jina la kigaeli lenye maana Mwenye kuzaliwa kwa heshima. (4)Kirk-Jina la kijeruman lenye maana Kanisa. Majina ya Herufi (L) (1)Luke-Jina la kigiriki lenye maana Mwanga (2)Levi-Jina la kiebrania lenye maana kuambata (3) Lawrence-Jina la kilatini lenye maana mtu wa mji wa laulentum (4)Lemwel-Jina la kiebrania lenye maana Moto wa Mungu. Majina ya Herufi (M) (1)Mathew-jina la kiebrania lenye maana zawadi ya Bwana.(2)Mark-Jina la kilatini lenye maana Mtu wa vita (3) Michael-Jina la kiebrania lenye maana Nani kama Mungu? (4)Malachi-Jina la kiebrania lenye maana Mjumbe wangu (5)Moses-Jina la kiebrania lenye maana aliyeokolewa kutoka Majini. Majina ya Herufi (N) (1) Nathanael- jina la kiebrania lenye maana Laha au kumzika (2)Nichoraus-Jina la kigiriki lenye maana mshindi wa watu (3)Nehemiah-Jina la kiebrania lenye maana, Mungu mfaliji. Majina ya Herufi (O) (1) Obadiah-Jina la kiebrania lenye maana Mtukufu,(2)Oscar-Jina la kijeruman lenye maana mpangaji wa Mungu (3) Oliver-Jina la kilatini, lenye maana Mzeituni. Majina ya Herufi (P) (1)Paul-Jina la kilatini lenye maana Mdogo au mnyenyekevu (2)Paulie-Jina la kigiriki lenye maana Jiwe au Mwamba (3)Philip-Jina la kigiriki lenye maana mpenda farasi (4)Phineas-Jina la kiebrania lenye maana Mwana Mume wa kushi. Majina ya Herufi (R) (1) Raphael-Jina la kiebrania lenye maana Mungu ameponya (2)Reubeni-Jina la kiebrania lenye maana tazama mwaka (3)Richard-Jina la kijerumani lenye maana mtawala mwenye nguvu.(4)Robert-Jina la kijerumani lenye maana mtawala mwenye Utukufu Majina ya Herufi (S) (1)Samwel-Jina la kiebrania lenye maana Mungu amesikia.(2)Simon-Jina la kiebrania lenye maana anasikiliza (3) Stephen-Jina la kigiriki lenye maana Taji au mwenye taji (4)Silas-Jina la kiebrania lenye maana Mwenye kuulizwa Majina ya Herufi (T) (1)Thomas-Jina la kialamu (2)Timothy-Jina la kigiriki lenye maana Mwenye kuheshimu Mungu (3)Titus-Jina la kilatini lenye maana ya mwenye kuheshimu (4)Theodore-Jina la kigiriki lenye maana Zawadi ya Mungu. Majina ya Herufi (U) (1)Uriel-Jina la kiebrania lenye maana Mungu ni Nuru yangu (2)Urich-Jina la kiebrania lenye maana Mtawala wa Urithi. Majina ya Herufi (V) (1)Victor au Vick- Jina la kilatini lenye maana Ushindi. (2) Vincent -Jina la kilatini lenye maana Mwenye kushinda (3)Vernon-Jina la kilatini lenye maana msitu wa alder (4)Valentine-Jina la kilatini lenye maana Mwenye nguvu au mwenye afya. Majina ya Herufi (W) (1) Walter-Jina la kijerumani lenye maana Mlinzi wa dhamila (2)William-Jina la kijerumani lenye maana Mlinzi wa dhamira (3)Wisley-Jina kiingereza lenye maana mto wa magharibi (4)Wyatt-Jina la kiingereza lenye maana Jasiri katika vita Majina ya Herufi (Z) (1)Zachariah-Jina la kiebrania lenye maana Mungu anakumbuka (2)Zebedee-Jina la kiebrania lenye maana aliyepewa na Mungu.(3)Zion-Jina la kiebrania lenye maana eneo takatifu.shalom shalom Bwana awabariki nyote ungependa kuwasiliana nami kwa ushauri au nikuombee niandikie victorykiluguma80@gmail.com au pastorvictorykilugumablogspot.com au nipigie simu +255766983598 Amen kiroho.linahusiana na imani hisitoria, nk. Mchagulie mtoto jina nzuri kwa wakristo zingatia jina lenye asili ya maandiko matakatifu Biblia
. Majina yana athiri tabia na maisha ya watoto wetu. Majina haya si tu yanaleta heshima,bali ni urithi wa imani yanawapa watoto msingi mzuri kiimani na kiroho tangu utotoni. majina ya watoto wa kiume wa kikristo ni ya kipekee.historia yake huwa ni ya kipekee ambayo inaweza kumsaidia mtoto kuelewa na kujivunia urithiwake wa jina kiroho KUCHAGUA JINA LA MTOTO NI UAMUZI MUHIMU SANA KWA WAKRISTO NA MZAZI WA IMANI YEYOTE. MAMBO YA KUZINGATIA UNAPO MCHAGULIA MTOTO WA KIUME WA KIKRISTO JINA. (1) fikiria maana ya jina hilo na jinsi linavyo husiana na imani yako ya kikristo. (2)fikiria chimbuko na hisitoria ya jina hilo, (3)angalia urahisi wa kutamka,na kuandika jina hilo. (4)fikiria jinsi jina hilo litakavyo fanyika baraka kwa familia na jamii nzima.hakikisha linaendana na maadili mazuri ya jamii yako tena linafanyika baraka mtoto kwa mwenyewe. (5)fikiria kuhusu utambulisho wa kipekee wa jina hilo, tafuta jina linalomtofautisha mtoto wako kwa namna nzuri na ya barak Mwisho mpendwa mzazi mchagulie mtoto wako jina lenye maana nzuri kwa kufanya hivi unampa mtoto wako zawadi ya urithi wa kiroho ambao utamwongoza kwa kristo na kumpa nguvu ya imani kwa Mungu kwa maisha yake yote. HAYA HAPA NI MAJINA NA MAANA KWA WATOTO WA KIUME WA KIKRISTO; Majina ya Herufi (A) (1) Adamu: jina la kwanza kibiblia lenye maana, Mtu au Udongo. (2) Abrahamu; jina la kialam lenye maana Baba wa mtaifa mengi. (3) Andrew; jina la kigiri lenye maana,shujaa au jasiri. Majina ya Herufi (B). (2) Benjamin; jina la kiebrania lenye maana mwana wa mkono wa kuume.(3)Bartholomew; jina la kiebrania lenye maana mwana wa tamlimal.(4)Barnabas; jina lenye maana Mwana wa faraja. (5)Benedict; jina la kilatini lenye maana amebarikiwa. Majina ya Herufi (C) (1)Caleb; jina la kiebrania lenye maana Mtu mwaminifu. (2) Christopher; jina la kigiri lenye maana kuchukua kristo.(3)Cyrus; jina la kiajemi lenye maana Mfalme. (4) Cornelius; jina la kilatini lenye maana Mwenyepembe. Majina ya Herufi (D).(1) Daniel; jina la kiebrania lenye maana Mungu ni mwamuzi wangu. (2)David; jina la kiebrania lenye maana Mwenye kupendwa.(3) Dominic; jina la kilatini lenye maana Mwenye kumilikiwa na Bwana.(4)Dylan; jina la kiwelshi lenye maana mwana wa mawimbi. Majina ya Herufi (E) (1) Elijah; jina la kiebrania lenye maana Mungu wangu ni Yehova.(2) Ethan; jina la kiebrania lenye maana Mwenye nguvu au imara.(3)Ezekiel; jina la kiebrania lenye maana Mungu ni nguvu zangu.(4) Ezra; jina la kiebrania lenye maana Msaidizi. Majina ya Herufi (F) (1) Flex;jinala kilatini lenye maana Mwenye furaha au bahati.(2) Francis; jina la kilatini lenye maana Mtu wa kifaransa.(3) Fedrick; jina la kijeruman lenye maana Mfalme au kiongozi. (4)Fabian; jina lenye maana mkulima wa maharage. Majina ya Herufi (G) (1) Gabriel; jina la kiebrania lenye maana Mungu ni nguvu zangu.(2)Gidion; jina la kiebran lenye maana Mwindaji aushujaa. Majina ya Herufi (1)Hosea-jina la kiebrania lenye maana Mungu anaokoa (2) Hezekiah-jina la kiebrania lenye maana Mungu ni nguvu zangu.(3)Heary- Jina la kijeruman lenye maana mtawala wa nyumba. (4) Hudson-Jina la kiingereza lenye maana Mwana wa hudoe. Majina ya Herufi (J) (1)Jacob- Jina la kiebrania lenye maana mfuatiaji au anayeshikilia kisigino. (2) John-jina la kiebrania lenye maana Mungu ni neema. (3) Joseph-Jina la kiebrania lenye maana Mungu ataongeza (4)Jushua-Jina la kiebrania lenye maana Bwana ni wokovu. (1)Kaleb-Jina la kiebrania lenye maana Mwenye uaminifu.(2) Kenneth-Jina la kigaeli lenye maana Mwenye kuzaliwa upya.(3)Kevin-Jina la kigaeli lenye maana Mwenye kuzaliwa kwa heshima. (4)Kirk-Jina la kijeruman lenye maana Kanisa. Majina ya Herufi (L) (1)Luke-Jina la kigiriki lenye maana Mwanga (2)Levi-Jina la kiebrania lenye maana kuambata (3) Lawrence-Jina la kilatini lenye maana mtu wa mji wa laulentum (4)Lemwel-Jina la kiebrania lenye maana Moto wa Mungu. Majina ya Herufi (M) (1)Mathew-jina la kiebrania lenye maana zawadi ya Bwana.(2)Mark-Jina la kilatini lenye maana Mtu wa vita (3) Michael-Jina la kiebrania lenye maana Nani kama Mungu? (4)Malachi-Jina la kiebrania lenye maana Mjumbe wangu (5)Moses-Jina la kiebrania lenye maana aliyeokolewa kutoka Majini. Majina ya Herufi (N) (1) Nathanael- jina la kiebrania lenye maana Laha au kumzika (2)Nichoraus-Jina la kigiriki lenye maana mshindi wa watu (3)Nehemiah-Jina la kiebrania lenye maana, Mungu mfaliji. Majina ya Herufi (O) (1) Obadiah-Jina la kiebrania lenye maana Mtukufu,(2)Oscar-Jina la kijeruman lenye maana mpangaji wa Mungu (3) Oliver-Jina la kilatini, lenye maana Mzeituni. Majina ya Herufi (P) (1)Paul-Jina la kilatini lenye maana Mdogo au mnyenyekevu (2)Paulie-Jina la kigiriki lenye maana Jiwe au Mwamba (3)Philip-Jina la kigiriki lenye maana mpenda farasi (4)Phineas-Jina la kiebrania lenye maana Mwana Mume wa kushi. Majina ya Herufi (R) (1) Raphael-Jina la kiebrania lenye maana Mungu ameponya (2)Reubeni-Jina la kiebrania lenye maana tazama mwaka (3)Richard-Jina la kijerumani lenye maana mtawala mwenye nguvu.(4)Robert-Jina la kijerumani lenye maana mtawala mwenye Utukufu Majina ya Herufi (S) (1)Samwel-Jina la kiebrania lenye maana Mungu amesikia.(2)Simon-Jina la kiebrania lenye maana anasikiliza (3) Stephen-Jina la kigiriki lenye maana Taji au mwenye taji (4)Silas-Jina la kiebrania lenye maana Mwenye kuulizwa Majina ya Herufi (T) (1)Thomas-Jina la kialamu (2)Timothy-Jina la kigiriki lenye maana Mwenye kuheshimu Mungu (3)Titus-Jina la kilatini lenye maana ya mwenye kuheshimu (4)Theodore-Jina la kigiriki lenye maana Zawadi ya Mungu. Majina ya Herufi (U) (1)Uriel-Jina la kiebrania lenye maana Mungu ni Nuru yangu (2)Urich-Jina la kiebrania lenye maana Mtawala wa Urithi. Majina ya Herufi (V) (1)Victor au Vick- Jina la kilatini lenye maana Ushindi. (2) Vincent -Jina la kilatini lenye maana Mwenye kushinda (3)Vernon-Jina la kilatini lenye maana msitu wa alder (4)Valentine-Jina la kilatini lenye maana Mwenye nguvu au mwenye afya. Majina ya Herufi (W) (1) Walter-Jina la kijerumani lenye maana Mlinzi wa dhamila (2)William-Jina la kijerumani lenye maana Mlinzi wa dhamira (3)Wisley-Jina kiingereza lenye maana mto wa magharibi (4)Wyatt-Jina la kiingereza lenye maana Jasiri katika vita Majina ya Herufi (Z) (1)Zachariah-Jina la kiebrania lenye maana Mungu anakumbuka (2)Zebedee-Jina la kiebrania lenye maana aliyepewa na Mungu.(3)Zion-Jina la kiebrania lenye maana eneo takatifu.shalom shalom Bwana awabariki nyote ungependa kuwasiliana nami kwa ushauri au nikuombee niandikie victorykiluguma80@gmail.com au pastorvictorykilugumablogspot.com au nipigie simu +255766983598 Amen
No comments:
Post a Comment